Saturday, November 26, 2011

YANAYOTOKEA

Kikundi cha Ngoma cha JKT Mgulani wakiburudisha kwenye maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru kwa Ofisi ya Rais katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa tenesi, Grace Laymond, (13) akipiga mpira wakati wa mashindano ya BQ Open yaliyoanza kwenye viwanja vya Gymkhana Club Mjini Dar es Salaam jana.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani wakifuatia kwa makini kongamano la hali ya elimu Nchini miaka 50 baada ya uhuru lililofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana.

TENESI


Mchezaji wa tenesi, Sara Bura, (13) akipiga mpira wakati wa mashindano ya BQ Open yaliyoanza kwenye viwanja vya Gymkhana Club Mjini Dar es Salaam jana.