Friday, September 14, 2012

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA SONGAMANO LA WANAHARAKATI LILILOFANYIKA UWANJA WA MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP)

 Wanaharakati wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe tofauti tofauti
 Profesa, Rwaitama akichangia hoja.


 MTAANI NAKO SHUGHULI KAMA HIVI
 Wafanyabiasha wanajitafutia riziki hapa katika Soko la Kariakoo
 Familia nyingi hivi sasa ziko kama hawa, tutafanyaje sasa ili kunusulu taifa na raia wake.
 Jeshi la Mgambo likitekereza kazi ya kubomoa bomoa nyumba za wavamizi eneo la Boko Machimboni jijini Dar es Salaam.
WADAU WA Blogs hii, wakitabasamu kwenye ukurasa wa tabasamu, Agnes na Rachol. Na wewe unakaribishwa kwenye ukurasa tuma picha yako sasa kwenye Email iliyopo juu.