Tuesday, August 21, 2012

SIKU YA UZINDUZI WA KAMPENI MAALUM YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI ULIVYOKUWA KWENYE UWANJA WA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 17 Agusti, 2012

Wageni waalikwa wanaingia uwanjani kama hivi
 Uzinduzi ndio huo, Mh. Waziri Mkuu anafurahia mara baada ya kukata utepe
Ilikuwa ni furaha tupu
 Baada ya hapo baadhi ya wageni wakiwa wamezingira gari la shirika la utangazaji TBC ili kupata kofia kwa ajili ya ukumbusho wao.
 Burudani ilikuwa kama hivi weeee achaaa tu.

Baadhi ya washiriki wakisikiliza hutuba kwa makini

Wednesday, August 8, 2012

Maandalizi ya futari, baadhi ya wateja wakinunua mihogo kwa ajili ya futari kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.
 Mfanyabiasha akisaka wateja sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam
 Wachezaji wa timu ya chini ya miaka (16) katika Shule ya Sekondari Makongo wakifanya mazoezi ya mchezo huo kwenye uwanja wa Lugalo jijini Dar es Salaam.

 MAANDALIZI YA FUTARI YAKIENDELEA katika Soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.