Wednesday, October 31, 2012

ILIKUWA HIVI SIKU YA KITCHEN PARTY YA BINTI WARDA ILIYOFANYIKA NYUMBANI KWAO CCM KIBAMBA JIJINI DAR ES SALAAM HIVI KARIBUNI.

 Akiwa kwenye pozi la aina yake amependeza kweli.
 Mambo ya chakula sasa ilikuwa muda wake.








 Mama mzaa chema akikaribisha wageni  waliofika kujumuika naye



 Mama ilikuwa muda wake wa kumuonyesha binti yake jinsi ya kwenda kufanya nyumbani kwake akiwa na familia yake.

 Ukapete hivi mchele usijepike bila kupeta mwanangu usije ukaniaibisha sawa.
 Pozi la mama na mwanae
MWISHO..........