Wednesday, August 8, 2012

Maandalizi ya futari, baadhi ya wateja wakinunua mihogo kwa ajili ya futari kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.
 Mfanyabiasha akisaka wateja sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam
 Wachezaji wa timu ya chini ya miaka (16) katika Shule ya Sekondari Makongo wakifanya mazoezi ya mchezo huo kwenye uwanja wa Lugalo jijini Dar es Salaam.

 MAANDALIZI YA FUTARI YAKIENDELEA katika Soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment