Thursday, May 23, 2013

JINSI MTOTO RAHEL ALIVYOTOKELEZEA SIKU YA SHEREHE YA KUZALIWA KWAKE ILIYOFANYIKA MBEZI JUU HUVI KARIBUNI

 Chost ametokelezea mrembo ile mbaya.
 Akiwa na mdogo wake na rafiki yake Sheila
 Haya sasa picha ya pamoja
 Dada yake akimlisha keki
 Mambo ya kulishana keki yanaendelea
ILikuwa bomba ile mbaya.

No comments:

Post a Comment