Wauza maji wakisaka wateja katika kituo cha mabasi cha Temeke jijini Dar es Salaam, chupa moja ya maji inauzwa kati ya Sh 300 hadi 500.
Mgambo wa Manispaa ya jiji wakiwa kwenye kazi, kuhakikisha kila mfanyabiashara anafanya biashara katika eneo husika.
Muuza karanga akisaka wateja katika eneo la Temeke jijini Dar es Salaam, fungu la karanga huuza Sh 500. Mfanyabiashara wa Majeneza katika eneo la Manzese.
Mtoto ambaye alitakiwa awe darasani kutokana na kipato kuwa kidogo hulazimika kuokota chupa za maji kwa ajili ya kuuza ili kuongeza kipato katika familia.
Hii ni hatari kwa mtoto kukaa nyuma bila kizuizi chochote,kuhatarisha maisha.
No comments:
Post a Comment