Wednesday, July 13, 2011

UZINDUZI WA NEMBO YA HASSAN MAAJAR TRUST (HMT) ULIVYOKUWA PICHANI KWENYE UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM JUZI.


















TAASISI ya HASSAN MAAJAR TRUST (HMT) ambayo inalengo la kutokomeza kabisa uhaba wa tatizo la madawati katika Shule za Msingi iliyozinduliwa rasmi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Dar es Salaam.
Kila Mtanzania anapaswa kupeleka mchango wake wa hali na mali katika Ofisi za Taasisi hii ili aweze kusaidia Taifa.

No comments:

Post a Comment