Wednesday, July 13, 2011

UZINDUZI WA SUPER VICOBA MBEZI BEACH.

Mtoto akitembeza mapambo ya ndani kwa ajili ya kutafuta wateja wa kununua kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere, Dar 
                                es Salaam jana.









Mmoja wa waigizaji kutoka Four Group, Lucian Bernard, akiigiza wakati wa uzinduzi wa Super VICOBA eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam, ukiwa ni mfuko wa kujiwekea Akiba kwa Maendeleo ya Kweli, Huduma za Jamii na Ujasiriamali. Hafla hiyo ya uzinduzi, ilifanyika jijini juzi.





Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kinondoni, Mwajuma Magwiza, (Katikati) akizindua Super Vicoba Mbezi Beach, mfuko wa kujiwekea Akiba kwa Maendeleo ya kweli, huduma za Jamii na Ujasiliamali, hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment